Balozi wa India nchini Debnath Shaw akizungumza na wafanyabiashara mbalimbali kutoka India |
Balozi wa India nchini Debnath Shaw kushoto akizungumza na baadhi
ya wafanyabiashara waliojitokeza wakati wa sherehe ya wafanyabiashara wa
India wanaoishi nchini wa pili kutoka kushoto ni Mkurugenzi mtendaji wa
Kampuni ya toyota ,Vinod Rustagi,Mkurugenzi wa Kamal Steels, Satyama
Gupta na Mwenyekiti wa Kamal steel, Gagan Gupta picha na mpigapicha wetu
baadhi ya viongozi wa umoja wa wafanya biashara wa India
wanaoishi nchini wakitambulishwa mbele ya balozi
Baadhi ya wafanyabiashara wa India wakichukua chakula wakata wa sherehe ya wafanyabiashara wa India
WAFANYABIASHARA WA INDIA WANAOISHI NCHINI WAKIJADILI MAMBO MBALIMBALI
0 comments:
Chapisha Maoni