Imeelezwa wadau wakubwa ni wenyenyumba zao amna suala la kulipa fidia kwa kuwa wataendelea kumiliki sakafu baada ya mwenyekiti kukubaliana kwa taratibu za kisheria zikisimamiwa na manispaa ya ilala ambapo baada ya ujenzi kukamilika watakubaliana kumiliki sakafu itategemea na urefu jengo la Ghorofa,Hayo yamesemwa kwenye semina elekezi ya mradi wa majengo ya ghorofa buguruni iliyowashikilisha wadau mbalimbali.
Mhe. Angelina Malembeka diwani wa kata pia ,wenyekiti huduma za jamii manispaaa ya Ilala amewataka viongozi pamoja na wadau mbalimbali wasioshiriki semina hiyo wawe mabarozi wazurii kwa wadau wa mradi.Wananchi wenyewe wasipotoshe bali wasimamie imara pamoja na kutoa elimu kwa wananchi waweze kuelewa vizuri,Isilete migogoro baadae lengo la mradi ufanikiwe na uwanufaishe kiuchumi wananchi.
nae afisa mipango miji wa manispaa ya ilala Paulo mbembela amesema mradi huo ni wawananchi wenyewe ndio wadau wakuu na sio wawekezaji wanamaamuzi ya kupendekeza uratibu wa aina ya ghorofa zitakazo takiwa kujengwa,Mradi huu ni tofauti na miradi mingine kama wakigamboni,Wananchi wataendelea kumiliki sakafu baada ya ujenzi huo wa ghorofa utakapo kamilika.
baadhi ya washiriki wa semina hiyo walipendekeza waliangalie suala zima la mazingira ya chemba za maji machafu kabla ya mradi kukamilika ili kuhepusha kero za wananchi pamoja na magonjwa ya milipuko, hewa chafu za maji taka pia washirikishwe kila kitu kuhusu mikataba wenyewe wamiliki nyumba ili mradi uweze kufanikiwa.
Mh.Magina Fortunatus Lufungulo diwani wa kata ya Buguruni amesisitiza kuwa Shule kwake ni kapaumbele hivyo hata hakikisha kabla ya maendeleo ya mradi huo wa ujenzi shule ya Sekondari inajengwa ndani ya kata ya Buguruni ili kuepusha tabu inayowakumba wakazi wa buguruni hasa watoto.
serikali pamoja na jitihada mbalimbali za miradi ya nchini bado ni tatizo kubwa la utekelezaji kwa watendai kusimamia mradi hiyo kama malengo yalivyo kusudiwa ni changamoto kubwa kwa Taifa.Hali hiyo imesababisha wananchi kukosa Imani na miradi inayobuniwa.
afisa mipango miji wa manispaa ya ilala Nd:Paulo mbembela
Mhe. Angelina Malembeka diwani wa kata Msongola na Mwenyekiti wa Huduma za jamii manispaa ya Ilala.
Wadau wakichangia juu ya mradi huo mpya wa maendeleo
Wadau wakichangia juu ya mradi huo mpya wa maendeleo
Ramani inayoonyesha maeneo ambayo mradi utapita.
Ramani inayoonyesha maeneo ambayo mradi utapita.
Ramani inayoonyesha maeneo ambayo mradi utapita.
Wadau wakichangia juu ya mradi huo mpya wa maendeleo
Wadau wakichangia juu ya mradi huo mpya wa maendeleo
Mh,Batuli Mbaraka Mziya Diwani wa viti maalumu Buguruni.
Mwenyekiti wa mipango miji na mazingira SULTAN SALIM
Mh.Magina Fortunatus Lufungulo diwani wa kata ya Buguruni asisitiza ujenzi wa shule ya Sekondari
Wadau wakifuatilia kwa makini maelezo ya mradi huo mpya wa ujenzi Buguruni.
Wadau wakifuatilia kwa makini maelezo ya mradi huo mpya wa ujenzi Buguruni.
0 comments:
Chapisha Maoni