SDM PRODUCTION MEDIA

Inahusika na mambo ya utoji wa habari na matangazo

Advertise

  • Home
  • Business
    • Fashion
    • Fashion1
    • Fashion2
  • Fashion
    • Sub Menu 1
    • Sub Menu 2
    • Sub Menu 3
  • Sports
  • Games
  • Technology
  • Download This Template
Home / Uncategories / KAMPUNI YA PUMA ENERGY YACHANGIA WIKI YA NENDA KWA USALAMA BARABARANI

KAMPUNI YA PUMA ENERGY YACHANGIA WIKI YA NENDA KWA USALAMA BARABARANI

Unknown - 23:30



Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Pereira Ame Silima (katikati) akizungumza na waandishi wa habari baada ya kupokea hundi ya Sh. Milioni 40 kwa ajili ya maandalizi ya Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani, kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Puma Energy nchini, Philippe Corsaletti (kulia). Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani inatarajiwa kufanyika wiki ijayo, jijini Arusha. Kushoto ni Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Naibu Kamishna, Mohamed Mpinga. Makabidhiano hayo yalifanyika katika ukumbi mdogo wa Wizara hiyo, jijini Dar es Salaam

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Pereira Ame Silima (katikati) akimshukuru Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Puma Energy nchini, Philippe Corsaletti (kulia) baada ya kupokea hundi yenye thamani ya Sh. Milioni 40 msaada uliotolewa kwa ajili ya Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani inayotarajiwa kufanyika wiki ijayo, jijini Arusha. Kushoto ni Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani nchini, Naibu Kamishna, Mohamed Mpinga. Makabidhiano hayo yalifanyika katika Ukumbi mdogo wa Wizara hiyo, jijini Dar es Salaam leo. Picha na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Pereira Ame Silima (katikati) akizungumza na waandishi wa habari baada ya kupokea hundi ya Sh. Milioni 40 kwa ajili ya maandalizi ya Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani, kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Puma Energy nchini, Philippe Corsaletti (kulia). Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani inatarajiwa kufanyika wiki ijayo, jijini Arusha. Kushoto ni Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Naibu Kamishna, Mohamed Mpinga. Makabidhiano hayo yalifanyika katika ukumbi mdogo wa Wizara hiyo, jijini Dar es Salaam leo. 
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Pereira Ame Silima (katikati) akizungumza na waandishi wa habari baada ya kupokea hundi ya Sh. Milioni 40 kwa ajili ya maandalizi ya Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani, kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Puma Energy nchini, Philippe Corsaletti (kulia). Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani inatarajiwa kufanyika wiki ijayo, jijini Arusha. Kushoto ni Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Naibu Kamishna, Mohamed Mpinga. Makabidhiano hayo yalifanyika katika ukumbi mdogo wa Wizara hiyo, jijini Dar es Salaam
Share on Facebook Share on Twitter Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

RELATED POSTS

    Blogger Comment

0 comments:

Chapisha Maoni

Chapisho Jipya Taarifa za zamani Nyumbani
Jisajili kwenye: Chapisha Maoni ( Atom )
Inaendeshwa na Blogger.

About Me

Unknown
Tazama wasifu wangu kamili

Wanaofuata

TANGAZO

My Blog List

  • BONGOWEEKEND
    SERIKALI YASISITIZA USHIRIKIANO NA SEKTA BINAFSI UTEKELEZAJI WA ASDP II - Na Mwandishi Wetu – Dodoma Serikali imesisitiza umuhimu wa ushirikiano wa karibu kati ya sekta ya umma na sekta binafsi katika utekelezaji wa Programu y...
    Saa 8 zilizopita
  • Viwanjani (nini kimejiri leo Maximo?)
    SUPER D AMUANDAA SUNDAY KIWALE KWA USHINDI WA K,O JANUARY 31 TANGA ATAKAPOZIPIGA NA YOHANA MCHANJA - SUPER D AMUANDAA SUNDAY KIWALE KWA USHINDI WA K,O JANUARY 31 TANGA ATAKAPOZIPIGA NA YOHANA MCHANJA Na Mwandishi Wetu KOCHA wa kimataifa wa mchezo wa masum...
    Miaka 5 iliyopita
  • SuperD Boxing Coach
    SUPER D AMUANDAA SUNDAY KIWALE KWA USHINDI WA K,O JANUARY 31 TANGA ATAKAPOZIPIGA NA YOHANA MCHANJA - Na Mwandishi Wetu KOCHA wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' ambaye kwa sasa anamnowa bondia Sunday Kiwale 'Moro Best' kwa aj...
    Miaka 5 iliyopita
  • Burudan Mwanzo - Mwisho
    BONDIA MAKUBI ATAMBA KUMPIGA ABDALLAH MA MOROGORO OKTOBA 4 KATIKA UKUMBI WA 361 MWENGE - Na Mwandishi wetu Bondia Ibrahim Makubi yupo kambini kwa ajili ya mazoezi yake ya kumkabili bondia abdallah kingolwira wa ( morogoro ) katika pambano l...
    Miaka 5 iliyopita
  • MWENDA BLOG
    JUMA CHOKI AJIANDAA NA MASHINDANO YA KING OF THE RING JULAI 28 - Bondia Ibrahimu Makubi kushoto akioneshana umwamba na Juma Choki wakati wa Mazoezi yanayoendelea katika kambi ya Super D iliyopo shule ya Uhuru Kariakoo...
    Miaka 6 iliyopita
  • MACHELLAH 0713 470 492 machellahm@yahoo.com
    -
Onyesha 5 Onyesha Zote

TANGAZA HAPA.

SDM PRODUCTION MEDIA TUNAKUKALIBISHA KUTANGAZA BIASHARA YAKO KWA BEI NAFUU SANA.KWA MAWASILIANO PIGA 0717389255

Total Pageviews

TANGAZO

Mkurugenzi wa Mtandao wa SDMPRODUCTIONMEDIA anaomba msaada wa kuchangiwa fedha za kununulia Vifaa vya mtandao huo.Msaada huo utasaidia kwenda mbali zaidi kupata habari Vijijini ACCOUNT.20SIOOO5168 CONTACT.(+255)0717 389255 CONTACT.(+255)0786 548443

Popular Posts

  • AJARI MBAYA YA BASI YATOKEA MAFINGA IRINGA
    BREAKING NEWS: Ajali imetokea changalawe Mafinga basi la Majinja lilikuwa linatokea Mbeya kwenda Dar limeangukiwa na kontena muda huu na...
  • HATIMAYE LULU AFUNGA NDOA NA JOTI.
    Msanii Maarufu Elizabeth Michael anayefahamika kwa jina la Usanii LULU na Msanii Nguli wa vichekesho Lucas Mhuvile maarufu kama JOTI wameone...
  • BABA NABII PAULO BENDELA AKIWA KATIKA KAZI YA UTUMISHI WA MUNGU AMEWAUNGANISHA WANANDOA WALIOACHANA ZAIDI MIAKA 22 SASA WARUDI KATIKA NDOA YAO
    Baba Bendala amesema ukimtumikia na kumwamini Yesu kristo kila jambo linawezekana huku akiwataka Wanadamu wamtumikie Mwenyezi Mungu. amesema...
  • Side Boy Usimdharau Usiyemjua
    Msanii Side Boy katika pozi MSANII wa miondoko ya Bongofleva anayejishughulisha na ujasiriamali, Said Salim '...
  • WAZIRI BANDARINI.
  • TAMASHA LA MAVAZI YA WALIMU KUVAA NGUO ZA HESHIMA WAKIWA KAZINI NA CHUO KIKUU KISHIRIKI CHA ELIMU DAR ES SALAAM DUCE
    Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Dar es salaam DUCE kimefanya Tamasha la kuwakumbusha Walimu nchini kuhusu Vazi la heshima la kuvaa wakiwa Kaz...
  • WANANCHI WA MOROGORO BWILA CHINI NA JUU WAGOMEA KUPISHA MRADI WA BWAWA LA KIDUNDA KWA KUWA DAWASA WAMETOA MALIPO KIDUCHU.WAKATI BENK YA DUNIA IMETOA FEDHA NYINGI ZA FIDIA KWA WAKAZI HAO.
    Wanakijiji wa Bwila juu,Bwila chini na Kibulumo  kata ya Selembala tarafa ya Mvuha,Mkoani Morogoro wamesema kuwa awataupisha mradi wa Bwawa ...
  • KUTANA NA MKUU WA WILAYA MPYA WA MUFINDI, MBONI MHITA
    Rais Jakaya Mrisho Kikwete baada ya kufanya uteuzi wa wakuu wa wilaya wapya macho ya watanzania wengi na mitandao ya jamii yametega jicho la...
  • WASIFU WA ALIYETEULIWA KUWA MKUU WA JESHI LA POLISI, SIMON SIRRO
    Rais Dkt Magufuli juzi Mei 28, 2017 alimteua na jana, Mei 29, 2017 alimuapisha Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) Simon Sirro ambapo amechukua na...
  • TANGAZO LA UTAFITI NA MGANGA WA TIBA ZA JADI TANZANIA
    DR. CHIFU UWEZO DR. CHIFU UWEZO MOTO WA RADI KUTOKA KIGOMA SASA YUPO DAR ES SALAAM MAENEO YA GONGOLAMBOTO ANARUDISHA MALI...

Labels

0715688037 Brazilian anti-World Cup protests hit Sao Paulo and Rio Burudani gloria media health Mali:Je ndege ni muhimu kuliko maendeleo? michezo Mwanamke kunyongwa kwa kuasi dini Sudan super d Vyama Uturuki vyalalamikia ajali mgodini Watalii toka Uingereza watoroka Mombasa
Copyright © 2015 SDM PRODUCTION MEDIA
Distributed By Blogger Templates