Mwenyekiti
wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya serikali za Mitaa na Mbunge wa jimbo la
Nzega Dr. Khamis Kigwangallah akitangaza nia yake ya kugombea urais
waJamhuri ya Muungano ya Tanzania wakati alipokutana na waandishi wa
habari kwenye ambapo amesema hajasukumwa na mtu yeyote ila ni yeye
mwenyewe ameamua kwa moyo wake. Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya serikali za Mitaa na Mbunge wa jimbo la Nzega Dr. Khamis Kigwangallah akimtambulisha mke wake Dr Bayoum Awadh wakati wa mkutano huo.
Mchungaji Patrick Saso akifanya maombi kabla ya kuanza kwa mkutano huo. |
Sheikh Abubakary Mwita akiomba dua kabla ya kuanza kwa mkutano huo. |
0 comments:
Chapisha Maoni