Msimamizi Mkuu wa Mauzo wa Kampuni ya
Megatrade Albet Kingu kushoto akimkabidhi zawadi ya chupa ya Kvant
750ml Ally Yanga wakati wa tamasha lililowakutanisha wakazi wa tabata
shule mwishoni mwa wiki tamasha hilo lilidhaminiwa na kampuni hiyo kwa
ajili ya kutoa burudani mbalambali kwa wakazi hawo
UNAISHIWAJE PAWA KWA KUPANDA MLIMA LOLMALASIN ?
-
Wakati anamsifia mpenzi wake Msanii Mbosso aliimba “ _Kamusi namaliza
kurasa kukusifia”_ ,na akahitimisha kwa kusema anaishiwa pawa kwa kuwa
penzi la huyo...
Saa 13 zilizopita


0 comments:
Chapisha Maoni