MREMBO SITTI ABBAS MTEMVU ATWAA TAJI LA MISS TANZANIA 2014



 Mrembo, Sitti Abbas Mtemvu, akiwa katika picha ya pamoja na Mshindi wa pili, Lillian Kamazima (kulia) na Mshindi wa Tatu, Jihhan Dimachk, baada ya kutawazwa rasmi kuwa washindi katika shindano la Taifa lililofanyika katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam, usiku wa kuamkia leo. Mrembo huyo ambaye ni binti wa Mbunge wa Temeke, pia ni Miss Temeke Abbas Mtemvu alitokea  Kitongoji cha  Chang'ombe.
Miss Tanzania aliemaliza muda wake,Happiness Watimanywa akimvita Crown na Taji  Miss Tanzania Sitti Mtemvu .
 Warembo wakiwa katika shoo ya pamoja na vazi la ubunifu...
 Warembo wakiwa katika picha ya pamoja na vazi la usiku...
 Warembo wakiwa katika picha ya pamoja na vazi la usiku...
 Warembo wakiwa katika show ya ufunguzi.....
 Warembo wakiaga jukwaani....
 Warembo wakipozi na vazi la usiku....
 Jukwaa la Show....
 Mbunge wa Temeke, Abbas Mtemvu akijumuika na wadau wa tasnia ya urembo kushuhudia shindano hilo..
 Sehemu ya wadau waliojitokeza kushuhudia shindano hilo...
 Sehemu ya wadau waliojitokeza kushuhudia shindano hilo...
 Sehemu ya wadau waliojitokeza kushuhudia shindano hilo...
 Msanii akitoa burudani jukwaani....
Share on Google Plus

About SDM PRODUCTION MEDIA

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

TANGAZO

My Blog List