MDAHALO WA MCHAKATO WA KATIBA MAKONDE YALINDIMA



Aliyekuwa Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba Mpya Jaji Joseph Warioba, akitolewa nje baada ya vurugu zilizotokea katika Mdahalo wa "Mchakato wa Katiba Mpya, uliofanyika jana kwenye ukumbi wa Ubungo Plaza jijini Dar es salaam kwa ajili ya maoni ya Wananchi na Katiba Inayopendekezwa" . Mdahalo huo ulivunjika baada ya vurugu hizo. 



Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

TANGAZO

My Blog List