Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akimsikiliza Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange
alipokuwa akimjshukuru kwa kutoa vitabu 2752 kwa Chuo cha Ulinzi na makataba
zingine za JWTZ wakati wa hafla fupi ya kukabidhi vitabu 201 kwa ajili ya
Maktaba ya Chuo cha Ulinzi (National Defence College - NDC) iliyofanyika
Ikulu jijini Dar es salaam Ijumaa January 9, 2015.
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akimkabidhi baadhi ya vitabu na Mkuu wa Majeshi Jenerali
Davis Mwamunyange. Rais Kikwete amekabidhi vitabu hivyo 201 kwa ajili ya
Maktaba ya Chuo cha Ulinzi (National Defence College - NDC) iliyofanyika
Ikulu jijini Dar es salaam Ijumaa January 9, 2015. Rais kikwete, ambaye
ameshachangia jumla ya vitabu 2752 katika maktaba ya chuo hicho na chuo
cha Monduli katika vipindi tofati, amesema elimu imo vitabuni, na ili
kuelemika yapaswa mtu asome vitabu, na kwamba taasisi ya elimu inakamilika
ikiwa na vitabu.PICHA/IKULU
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
EMPAKAAI KRETA KIVUTIO KWA WATALII
-
Kasoko ya Empakaai ni mojawapo ya Kasoko za volkano ndani ya Hifadhi ya
Ngorongoro, ikiwa na kingo za juu na ziwa zuri linalofunika zaidi ya
asilimia 75 ...
0 comments:
Chapisha Maoni