BONDIA OMARI KIMWERI ATUA NCHINI

BONDIA Mtanzania anayefanya kazi zake nchini Deer Park, Victoria, Australia, Omari Kimweri (kushoto) akiwasili na mgeni wake
mwanasoka wa kike, Melanie Gines ambaye ni raia wa Hispania wa tatu kushoto baada ya kupokelewa na kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchi Rajabu Mhamila 'Super D' wa pili kushoto katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere Dar es salaam Picha na SUPER D BOXING NEWS

BONDIA Mtanzania anayefanya kazi zake nchini Deer Park, Victoria, Australia, Omari Kimweri (kushoto) akiwasili na mgeni wake
mwanasoka wa kike, Melanie Gines ambaye ni raia wa Hispania kulia akipeana mkono na kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchi Rajabu Mhamila 'Super D' baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere Dar es salaam Picha na SUPER D BOXING NEWS
SUPER D, OMARI KIMWERI NA Melanie Gines
SUPER D, OMARI KIMWERI NA Melanie Gines
SUPER D, OMARI KIMWERI NA Melanie Gines
Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila kulia akiwakaribisha wageni wake Omari Kimweri na  Melanie Gines kwa kuwapatia skavu zenye bendera ya Tanzania mara baada ya kuwasili katika  uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere Dar es salaam Picha na SUPER D BOXING NEWS

kwa ajili ya mapumziko ya wiki mbili ambapo akiwa nchini atatembelea club mbalimbali za ngumi na kutoa mbinu mpya zinazofanya na mabondia wa nje ili kufikia mafanikio zaidi

bondia huyo ambaye ni mzaliwa wa Tanga atakuwepo nchini ambapo pamoja na ugeni wake watatembelea mapango ya amboni kwa ajili ya kuakikisha utalii unakuwa nchini hususani mkoa wa Tanga
baada ya kutoka mkoa wa tanga na kutembelea vivutio mbalimbali vya utalii bondia huyo atarudi Dar es salaam na kushudia moja ya mpambano utakaopigwa mwishoni mwa wiki

aliongeza kwa kusema kwa kushilikiana na kocha wa kimataifa nchini Rajabu Mhamila 'Super D' watatembelea club mbalimbali zenye mabondia wa ngumi za kulipwa kwa ajili ya kuwapatia mbinu pamoja na mafundisho mbalimbali yanayotumiwa kufanikiwa michozoni 

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

TANGAZO

My Blog List