OMARI KIMWERI AMPIGA TAFU VIFAA KOCHA KINYOGOLI
-Na Mwandishi Wetu
BONDIA Mtanzania anayefanya kazi zake nchini Deer Park, Victoria, Australia, Omari Kimwerimwishoni mwa wiki iliyopita kwa mara ya kwanza ali ongea na wapenzi wa mchezo wa masumbwi ambao walifulika katika ukumbi wa P.T.A sabasaba jijini Dar es salaam
na kukabidhi vifaa vya mchezo wa masumbwi kwa kocha Habibu Kinyogoli kwa ajili ya kuendeleza mchezo wa masumbwi nchini baada ya kupokea msaada huo Kinyogoli alisema kuwa haya ni matunda yake japokuwa ni watu wachaxhe sana wanaokwenda nje ya nchi kuwakumbuka wenzao yeyey amewakumbuka wenzake kwa kuwa vifaa hivyo vitatumika na mabondia chipkizi
makabidhiano hayo yalifanyika wakati wa mpambano wa Aliphonce Mchumiatumbo na Iddi Bonge mpambano ambaso ulisha kwa K,O ya raundi ya kwanza baada ya bondia Bonge kupigwa ngumi kali na kwenda chini mara tatu kwa kila ngumi aliyokuwa akipigwa
baada ya ushindi huo Kimweri alimvalisha mkanda wa ubingwa wa taifa unaotambulika na chama cjha ngumi za kulipwa nchini P.S.T
kwa Mchumiatumbo baada ya kumgalagaza Bonge bila ya huruma katika mapambano mengine ya utangulizi bondia machachali Vicent Mbilinyi alimgalagaza bondia Khalidi Manjee bila ya huruma wakati Mussa Sunga alimchapa Makali Mawe kwa point
0 comments:
Chapisha Maoni