Maskini Huyu mtoto amezaliwa usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya serikali ya Shinyanga akiwa na Viungo sehemu zisizo sahihi na baada ya muda alifariki Dunia
Najiuliza kwa Sauti Je nini Sababu za Watoto Kama Hawa ? Kwani matukio ya wazazi kujifungua watoto wa ajabu yamekuwa mengi nyakati hizi..
WAHADZABE ANAPOFARIKI HUTELEKEZA MWILI KWENYE MJI WAKE NA KURUDI BAADA YA
SIKU 30
-
Na Hamis Dambaya na Kassim Nyaki, Ngorongoro.
Jamii ya kabila la Wahadzabe ina historia ya kuvutia katika kila nyanja ya
maisha yao, watalii mbalimbali ...
Saa 22 zilizopita

0 comments:
Chapisha Maoni