ALLY KIBA APATA TUZO KWA MAKOSA

 Hii ni baada ya maoni ya washabiki na waandaji wa kilimanjaro music award kuona suala hilo na kuandika katika ukurasa wa facebook maono hayo.


Kilimanjaro Premium LagerKilimanjaro Music Awards/Tour 2015

Kilimanjaro Music Awards/Tour 2015
Tunashukuru Kwa Kuweza Kufanikisha Zoezi La Jana
Tunapenda Kuwashukuru Wasanii Wote Walioweza Kuhudhuria,
Kushiriki Na Kujinyakulia Tuzo Mbalimbali!
Tumepata Malalamiko Kuhusu Tuzo Ya Mtumbuizaji Bora Wa Mwaka
Wa Kiume. Kwa Maoni Ya Watu Na Mijadala Bado Ni Kuhusiana Na Tuzo HiyoDah Inakuwa Ni Vigumu Kufanya Au Kubadili Maamuzi Kwani Hata.
Meneja Wa TBL Amesema Ilikuwa Na Makosa...
Kwenda Imeshaenda Sasa Tuujenge Mziki Wetu Kwa Kuwapa Sapoti. Wasanii Wetu Daimond Platnumz Na Vanesa Mdee Katika Tuzo Za Mtv
Ili Kuleta Heshima Nyumbani
Tunaomba Radhi Kwa Yote 

 
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

TANGAZO

My Blog List