WAFANYA BIASHARA WA SOKO LA KISUTU WALALAMIKA KUKOSA WATEJA WA BIDHAA.

Wafanaya Biashara wa Soko la Kisutu manispaa ya Ilala Dar es salaam walalamika kukosa wateja wa Bidhaa zao hususan za mazao ya chakula kutokana na kutokuwa na Miundombinu rafiki.Wafanya biashara hao wametupia lawama wahusika kwa kushindwa kuweka eneo hilo katika hali nzuri ili kuwavutia wateja.

Share on Google Plus

About GLORIA MATOLA

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
Chapisha Maoni
Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

Google+ Followers

TANGAZO

My Blog List