MBUNGE WA WAWI KUPITIA CHAMA CHA WANANCHI CUF HAMED RASHID MOHAMED AMEJIUNG RASMI NA CHAMA CHA ADC NA KUPEWA KADI NAMBA 1


Mbunge wa jimbo la wawi ,kupitia  chama cha Wananchi CUF Hamad Rashid Mohamed amejiunga rasmi na chama cha ADC -Dira ya mabadiliko,huku akiahidi kubadili hali ya uchumi wa zanzibar kwa kuleta mapinduzi ya viwanda,iwapo atapata ridhaa ya wananchi ya uongozi visiwani

Hamad Rashid ,mwezi may mwaka huu wakati akiliaga bunge aliweka bayana nia yake ya kugombea nafasi ya uraisi kupitia chama hiko visiwani zanzibar



 Kwa upande wake  mwenyekiti wa ADC Taifa  Said Miraaj Abdulla amewasihi watanzania kujiandikisha katika daftar la kudumu la kupiga kura ili wachague viongozi watakao waletea maendeleo


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

TANGAZO

My Blog List