Bodaboda wamepewa ahadi ya kuboresha biashara hiyo na Mgombea Ubunge Jimbo la Ubungo Mheshimiwa Didas Masaburi

Mgombea Ubunge Jimbo la  Ubungo ametoa ahadi ya kuboresha biashara ya bodaboda ikiwa  atapatiwa  nafasi  ya kuwa Mbunge.
Mgombea huyo ameonyesha mapenzi yake kwa wafanyabiashara  hiyo na kutoa ahadi ya kuwapatia mikopo kwa vikundi  hivyo vya Bodaboda na kuwasimamia wasipate kero ya kuendesha shughuli zao.
Pia Katika Hali ya kufurahisha Mgombea ametoa ahadi ya kila kata kupewa millioni kumi ili kwa ajili ya kuanzisha  vikundi vya kukopeshana ili kutoa tatizo la umaskini Tanzania.

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

TANGAZO

My Blog List