MAGUFULI MTEULE

Nabii Paul Bendera wa kanisa la ufunuo ambaye alitabiri mapema ushindi wa Dokta John Pombe Magufuli kwa nafasi ya  Urais ametabibiri Watanzania watajarajie Mababiliko makubwa katika Serikali mpya baada ya Rais Mpya mteule kuapishwa.
Nabii Bandera amezungumza hayo katika mkutano wa waandishi wa habari jijini Dar es salaam,kukamilisha utabiri wake wa Uchaguzi mkuu wa Rasi,Wabunge na Madiwani.
Katika mkutano na waandishi  wa habari wa vyombo mbalimbali Mwandishi wa Blog alipata nafsi ya kujua matarajio ya Nabii kwa Rais Mpya.
Akijibu swali hilo amesema watanzania watarajie mabadiriko makubwa katika Serikali kuu Mpya  na akijibu kuhusu madai ya Kuibiwa kwa kura kwa Upinzani amesema Hakuna mtu yoyote anayeweza kuipora haki ya MUNGU.

Alimalizia kwa kusema yeye sio mfuasi wa Siasa ila ametabiri kutokana na Maono ya MUNGU na ametabiri wabunge na madiwani kutoka vyama mbalimbali vya siasa.Nabii Bendera alitoa utabari wake Septemba Nane mwaka huu,kwamba Dokta Magufuli atashinda nafasi ya urais katika uchaguzi mkuu uliofanyika oktoba 25 pia mwaka 2015 pia alitabili vitatokea vifo vya kushtukiza vya wanasiasa kabla ya kufanyika uchaguzi mkuu.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

TANGAZO

My Blog List