Asilimia 50 ya bidhaa zinazouzwa nchini imebanika ni bidhaa bandia kutoka nje ya nchi Utafiti uliotolewa na Shirikisho la Viwanda Tanzania Cti unaonyesha bidhaa hizo ni Vyakula, dawa, vinywaji, pembejeo za kilimo na vifaa vya maofisini. Taarifa ya Utafiti imetolewa katika warsha iliyowashirikisha wadau mbalimbali jijini Dar es salaam, mtaalam wa Uchumi kutoka Chuo Kikuu cha Mzumbe Prof Prosper Ngowi mdau wa Uchumi na Evarist Maembei Kansela cti
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO
-
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO
Saa 10 zilizopita
0 comments:
Chapisha Maoni