Halmashauri ya Wilaya ya Temeke imevunja Baraza la Madiwani baada ya kupatikana kwa wilaya nyingine mpya ya Kigamboni na kupeleka kugawana Mali katika Halmashauri hizo mbili ya Temeke na Kigamboni. Mkuu wa Wilaya Mpya ya Kigamboni Hashim Mgandila amewataka Watumishi wa Serikali pamoja na Madiwani wafanye kazi kwa uadilifu. Katika mgawanyiko wa mali hizo Manispaa ya imetengewa Shilingi Bilioni 42 huku Manispaa ya Kigamboni ikitengewa Shilingi Bilioni 8 ambapo bajeti yake jumla ya Shilingi Bilioni 50
WADAU WA MAZINGIRA WAASWA
-
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis
Hamza Khamis ametoa rai kwa wadau wa mazingira katika ngazi zote na
wananchi kwa...
Saa 16 zilizopita
0 comments:
Chapisha Maoni