MGOGORO WA ARDHI KISARAWE KATA YA MSIMBU MKUU WA WILAYA HIYO AWAkUTANISHA MWEKEZAJI NA WANANCHI LENGO Ni KUTATUA MGOGORO HUO

Watu watatu wanaodaiwa kuuza ardhi katika kata ya Msimbu wamekamatwa kwa agizo la Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Mkoa wa Pwani Happiness William Seneda huku aliyejifanya Mwenyekiti wa Serikali ya Kijiji cha Msimbu Mwarami Said Mkali akitafutwa  kwa kosa la kugushi nyaraka za Serikali na kuuza ardhi kwa njia ya udanganyifu. Nyaraka ambazo zimehusishwa ni pamoja na Bendera ya Taifa, Karatasi zenye nembo ya Manispaa ya Kisarawe. Mhuri wenye nembo ya Kijiji cha Msimbu na kufanya mauzo.. Wananchi hao pamoja na jitihada za Mkuu wa Wilaya hiyo kutatua Mgogoro wa Ardhi kati ya Mwekezaji na Wananchi, upande wa Wananchi awakulizika. Wananchi wakiongea na Mwandishi wa Mtandao huu wamesema aiwezekani Mwekezaji pia ni mwana Kijiji awe na eneo kubwa la Eka 161 ameuziwa na nani. Nao wameonekana wameuziwa kwa njia ya udanganyifu huku watendaji wa Serikali ya Kijiji hipo jirani na Ofisi inayotumika kuwadhurumu Wananchi zaidi ya miaka miwili.. Wananchi hao wamesema wanajiandaa kumuona Waziri Mwenye zamana na ARDHI

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

TANGAZO

My Blog List