Wakati Tanzania nzima inaazimisha siku ya kumbukumbuku ya Kifo cha mwalimu Nyerere,Vijana wameiomba Serikali kutoa tamko ya ni Lini hasa Ajira zitatoka wakilinganisha na enzi za mwalimu Nyerere ambako Wasomi Wanaomaliza Chuo walipatiwa Ajira mapema.Licha ya kuwa kulikuwa na Wasomi wachache Serikali pia ilikuwa inaandaa Meneo na sektaz a Vijana kwenda kufanya kazi.Wakizungumzia Suala la Elimu Vijana wametoa maoni kuwa Elimu ya kujitegemea iliyokuwa inatolewa kipindi cha utawala wa Baba wa Taifa Ingeboreshwa ili kukabilana na Changamoto za Mazingira na Soko la Ajira kuliko Elimu inayotolewa sasa ambayo inamfanya mwanafunzi awe Tegemezi na kazi za Maofisini tu.Wanafunzi hao wamepanga kufanya kumbukumbu Ya Nyerere kwa Kuongea na Vyombo vya habari Juu ya tamko Rasmi juu ya Ajira za walimu na Watumishi wa Afya.
BONDIA RAMADHANI MIGWENE AMUWEKEA MIKWALA ALBANO CLEMENT BAADA YA KUKIMBIWA
NA HABIBU PENGO
-
BONDIA RAMADHANI MIGWEDE baada ya kukimbiwa na mpinzani wake Habibu Pengo
aliesaini nae kuzipiga mara ya kwanza sasa amebadilishiwa mpinzani na
atache...
Miaka 2 iliyopita
0 comments:
Chapisha Maoni