Viongozi wa ligi kuu ya Uingereza wamesema Chelsea ni timu tofauti na ile ilioanza msimu,lakini ni sharti inyenyekee,mkufunzi wake Antonio Conte amesema.
Timu hiyo iliishinda Tottenham Hotspurs 2-1 katika uwanja wa Stamford Bridge hivyobasi kujipatia ushindi wao 7 mfulululizo.
Ushindi huo umeimarisha uongozi wa klabu hiyo katika kilele cha ligi.
Nadhani sasa tuna timu tofauti, tuna motisha tofauti, na ni muhimu kuendelea kuwa wanyenyekevu, alisema Conte.
Unaposhindwa debi muhimu,lazima ufurahie lazima tuendelee kufanya kazi.
UNAISHIWAJE PAWA KWA KUPANDA MLIMA LOLMALASIN ?
-
Wakati anamsifia mpenzi wake Msanii Mbosso aliimba “ _Kamusi namaliza
kurasa kukusifia”_ ,na akahitimisha kwa kusema anaishiwa pawa kwa kuwa
penzi la huyo...
Saa 11 zilizopita
0 comments:
Chapisha Maoni