Wajasiliamali wadogo waiomba serikali kurahisisha mzunguko wa fedha ili waweze kujipatia kipato.Pia wameiomba serikali kuboresha mazingira ya kazi zao na miundombinu ili kujiongezea faida katika harakati zao.Wakiongea na MWANDISHI wa blog mafundi ujenzi na wajasiliamali wamesema kwamba hali ya maisha imekuwa ngumu kupitiliza kutokana na watu kutokujenga nyumba na wanunuzi wa bidhaa kutoonekana na kusababisha kuyumba kwa familia na hali ya maisha kutokuwa sawa kabisa.
UNAISHIWAJE PAWA KWA KUPANDA MLIMA LOLMALASIN ?
-
Wakati anamsifia mpenzi wake Msanii Mbosso aliimba “ _Kamusi namaliza
kurasa kukusifia”_ ,na akahitimisha kwa kusema anaishiwa pawa kwa kuwa
penzi la huyo...
Saa 11 zilizopita
0 comments:
Chapisha Maoni