Aliyekuwa miss Tanzania na Muigizaji wa filamu za kibongo maarufu kama Wema Sepetu amehama rasmi chama alichokuwa amekipigania wakati wa kampeni na kuamia Chadema.
Kitendo hicho kinahusishwa na tuhuma zake za kutumia dawa za kulevya ambapo mkuu wa mkoa wa Dar es salaam alimtaja mbele ya vyombo vya habari kama mtumiaji.kilichomfanya kuchukia sana na kuchukua maamuzi ya kuhama chama.
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO
-
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO
Siku 1 iliyopita
0 comments:
Chapisha Maoni