"Mimi kama mwanasiasa ukiona mtu ambaye ni adui yako umefanya jambo akakusifia ujue lipo tatizo, ila ukiona umefanya jambo adui yako akasema umekosea maana yake umepatia sana.
"Mimi naomba nimpongeze Rais Magufuli kwa kazi kubwa aliyofanya na niwaambie waheshimiwa wabunge, duniani kote 'Extractive Industries' inaenda kubadilika atakaye kuwa kwenye historia ya kubadilisha Extractive Industries ni Rais Magufuli.
"Leo duniani kote kila kwenye migodi mambo yatabadilika kwa sababu ya Magufuli amefungua milango, niwaambieni watanzania tusiogope kwenye hili lazima tuwe nyuma ya Rais tumuunge mkono aendelee na nina hakika wawekezaji watakuja mezani."
Mheshimiwa Peter Serukamba
Mbunge wa Kigoma Vijijini (CCM)
NIMERIDHISHWA NA MAANDALIZI KUELEKEA KUWASHWA KWA MWENGE WA UHURU - MAJALIWA
-
WaziriMkuuu Kassim Majaliwa amesema ameridhishwa na hatua za maandalizi
kuelekea sherehe za kuwashwa kwa Mwenge wa Uhuru ambao utazunguka katika
Mikoa 31...
Saa 12 zilizopita
0 comments:
Chapisha Maoni