Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, leo tarehe 25/07/2017 amekamilisha ziara yake ya siku 7 katika Mikoa ya Kagera, Kigoma,Tabora na Singida.
Katika ziara yake Mhe. Magufuli amezindua miradi mbalimbali ya Maendeleo ya wananchi ikiwemo kilometers 707 za Barabara, na kuwataka wananchi kutembea kifua mbele kwa kuwa fedha za ujenzi wa barabara hizo zimetokana na vyanzo vya ndani.
Kwa hisani ya Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu tumekuwekea waraka unaoelezea kwa kina mzunguko kamili wa Ziara ya Mhe. Rais.
FEAJ KUTETEA HAKI ZA WAANDISHI
-
*Mwandishi wetu,Kigali*
Shirikisho jipya la Waandishi wa habari Afrika Mashariki(FEAJ) limeanzishwa
ili kusaidia kutetea haki na maslahi ya wafanyakazi ...
Saa 7 zilizopita
0 comments:
Chapisha Maoni