Mhe:Lukuvi tarehe 23 ya mwezi wa 8 mwaka 2017 kwa pamoja walifanya zoezi la kurasimisha ardhi kwa mwekezaji wa kiwanda cha uzalishaji wa mabetri.
Zoezi hilo ni jitihada za kuunga mkono harakati ya Mhe:Raisi Dkt John Pombe Magufuli ya kuwa na uchumi unaotegemea viwanda yaani Tanzania ya viwanda.
Shughuli hiyo ilifanyika Tarehe 23, August 2017 Katika Kijiji cha Msoga , Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze.
Waziri wa Ardhi Mh. William Lukuvi akiwa na Mbunge wa Chalinze katika picha tofauti za matukio ya kurasimisha ardhi kwa mwekezaji wa kiwanda cha uzalishaji wa mabetri.
0 comments:
Chapisha Maoni