Halmashauri ya manispaa ya temeke imefanikiwa kukusanya kiasi cha shilingi bilioni 26 kati ya bilioni 36 zilizokusudiwa ikiwa ni sawa na asilimia 85 ya makusanyo yaliyopangwa kufanyika katika kipindi cha bajeti ya mwaka 2016 na 2017. hayo yamesemwa na mstahiki meya wa manispaa ya Temeke Abdallah Chaurembo mara baada ya kikao cha baraza la madiwani kilichofanyika jijini dar es salaam.
Mkuu wa wilaya ya temeke felix lyaniva amewataka madiwani hao kuhakikisha miradi ya maendeleo inatekelezwa na kufikia malengo waliyojiwekea.
Baraza hilo limefanya uchaguzi wa kumchagua naibu meya pamoja na viongozi wa kamati sita zilizopo.
MIKOA 20 YA TANZANIA KUPATA MVUA KUBWA
-
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa tahadhari ya mvua kubwa kwa
baadhi ya maeneo ya mikoa 20 nchini.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na TMA...
Saa 18 zilizopita
0 comments:
Chapisha Maoni