Wawakilishi wa Afrika katika michuano ya kombe la dunia la vijana la chini ya miaka 17 timu za Mali na Ghana zimetinga hatua ya kumi na sita bora ya michuano hiyo.
Mali walioko katika kundi B wamemaliza katika nafasi ya pili nyuma ya Paraguay kwa baada ya kuichapa Zew Zealand kwa mabao 3-1.
Ghana wakawaondosha wenyeji India, kwa kuwachapa kwa mabao 4-0, na hivyo Ghana kuongoza kundi A kwa Alama sita wakifuatiwa na Colombia.
Paraguay wakawachapa Uturuki kwa mabao 3-1 na Colombia wakaibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Marekani.
WAGONJWA 2700 WA KOMORO WAMETIBIWA JKCI
-
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan
amesema zaidi ya wagonjwa 2700 wametibiwa na wataalamu wa Taasisi ya Moyo
Jakaya K...
Saa 4 zilizopita
0 comments:
Chapisha Maoni