Klabu ya simba maarufu kama wekundu wa msimbazi imethibitisha kumteua kocha Hemed Suleiman maarufu kama morroco kuwa kocha wa muda wa klabu hiyo kuelekea machi za marudiano za kimataifa baada ya kuachana na kocha wake Fadlu Davids.
HEMED SULEIMAN(MOROCCO)KOCHA MPYA SIMBA
-
14:50
0 comments:
Chapisha Maoni