Idadi ya watu waliofariki katika ajali ya kilimanjoro imefikia watu sita.
Ajali hiyo ilitokea tarehe 28 mwezi wa tisa mwaka 2025 ikihusisha gari aina Lori na noah eneo la njia panda wilaya moshi.
Inahusika na mambo ya utoji wa habari na matangazo
Idadi ya watu waliofariki katika ajali ya kilimanjoro imefikia watu sita.
Ajali hiyo ilitokea tarehe 28 mwezi wa tisa mwaka 2025 ikihusisha gari aina Lori na noah eneo la njia panda wilaya moshi.
0 comments:
Chapisha Maoni