MATUKIO KATIKA PICHA KUTOKA BUNGENI DODOMA


Halima mdee
mbunge wa kawe (chadema) Halima mdee akichangia hoja katika mjadalawa bunge la bajeti mjini Dodoma.


kasulumbayi, kabaka & alshaymaa
waziri wa kazi na ajira, gaudence kabaka (katikati) akibadilishana mawazo na mbunge wa maswa mashariki (chadema), Sylvester kasulumbayi (kushoto) na mbunge wa viti maalum, alshaymaa kwegyir kwenye viwanja vya bunge.


kiwia
mbunge wa ilemela, highness kiwia akichangia hoja katika mjadala wa bunge la bajeti mjini Dodoma.

mjadala
mawaziri prof. mark mwandosya (shughuli maalum) na Samuel sitta (kulia)wakifuatilia kwa makini mjadala wa bunge la bajeti mjini Dodoma. kushoto ni mwanasheria mkuu wa serikali, Frederick werema

wabunge
wabunge wakitoka kwenye kikao cha bunge la bajeti
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

TANGAZO

My Blog List