Mme wa FLOLA MBASHA(EMANUEL MBASHA) NA FROLA MBASHA
Wakati jamii inaendelea kupambana juu ya Ukatili dhidi ya wanawake bado tatizo limeendelea kuwa kubwa.EMANUEL MBASHA(32) mme wa muimbaji wa injili FROLA MBASHA(31) amefanya tukio la ajabu la kumbaka mdogo wa Flora Mbasha ambalo linaonyesha ukatitili dhidi ya wanawake.Kesi ipo kwa Hakimu mkazi wilaya ya Ilala hii ni Aibu ya mwaka kwa MUIMBAJI WA INJILI FROLA MBASHA.
DKT. BITEKO ATAKA MITAALA VYUONI IENDANE NA MABADILIKO YA TEKNOLOJIA
-
Azindua dira ya miaka 50 ya CBE (2025 - 2075)
📌 Asisitiza matumizi ya teknolojia za kisasa, zinazojibu changamoto za
jamii
📌 Taasisi za elimu ya juu za...
Saa 14 zilizopita
Blogger Comment