picha za soko la machinga maarufu kama soko la machinga karume jinsi lilivyoteketea na moto.
picha za soko la machinga maarufu kama soko la machinga karume jinsi lilivyoteketea na moto
Mwenyekiti wa soko la karume
Soko maarufu la machinga limewaka moto usiku wa kuamkia leo.wafanya biashara elfu kumi na tano wakipoteza ajira baada ya mali zao kuteketea na moto.Wafanya biashara hao wapo katika wakati mgumu hii ni kutokana na mikopo ya benki na mali zao kuteketea na ajali ya moto hivyo kuwa katika wakati mgumu wa kulipa madeni hayo.Wafanya biashara hao wanaomba msaada kwa Serikali na wadau wengine wa maendeleo.Hadi sasa chanzo cha moto hakijafahamika.
Blogger Comment