UNAJUA MGAWANYO WA WABUNGE MKOA WA DAR ES SALAAM?

Mgawanyo wa wabunge ndani ya mkoa wa Dar es salaam umeendelea kuwachanganya watu wengi(Watanzania) wakati Bunge linaendelea.Mkoa wa Dar es salaam una wilaya Tatu ambazo ni Temeke,Kinondoni na Ilala.Katika Uchaguzi wilaya hizi zinagawanyika katka majimbo ya uchaguzi kama ifuatavyo;ILALA inakuwa na majimbo ya uchaguzi matatu ambayo ni ;


  1. Wilaya ya Kinondoni ina jumla ya Majimbo ya Uchaguzi matatu (3) ambayo ni:

  • Kawe
  • Kinondoni
  • Ubungo.
Mbuge wa Jimbo la Kawe ni:
Mhe. Halima Mdee (CHADEMA)

Mbunge wa Jimbo la kinondoni ni:
Mhe. Idd Azzan (CCM)

Mbunge wa Jimbo la Ubungo ni
Mhe. John Mnyika (CHADEMA)

2. Wilaya ya Ilala ina majimbo matatu (3) ya Uchaguzi ambayo ni:
  • Ilala
  • Ukonga
  • Segerea 

Mbunge wa Jimbo la Ilala ni:
Mhe. Mussa Azzan Zungu (CCM)

Picha ya Mbunge
Mbunge wa Jimbo la Ukonga ni:
Mhe. Eugne Mwaiposa (CCM)

Mbunge wa Jimbo la Segerea ni:
Mhe. Dr. Makongoro Mahanga(CCM)

3. Wilaya ya Temeke ina jumla ya Majimbo ya Uchaguzi mawili (2) ambayo ni:
 
  • Temeke. 
  • Kigamboni.
 
 
Abbas Mtemvu
Mbuge wa Jimbo la Temeke ni:
Mhe. Abbas Mtemvu
 

Mbunge wa Jimbo la Kigamboni ni:
Mhe. Dr. Faustine E. Ndungulile .
 


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

TANGAZO

My Blog List