Mkufuzi wa mafunzo ya waamuzi wa
mchezo wa masumbwi Ally Bakari 'Champion' kushoto akiwaelekeza baadhi ya
marefarii waliojitokeza katika mafunzo hayo yaliyo andaliwa na chama
cha ngumi za kulipwa TPBC yaliyoanza Ilala CCM Dar es salaam juzi na
kumalizika jumamosi hii picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Mkufuzi wa mafunzo ya waamuzi wa
mchezo wa masumbwi Ally Bakari 'Champion' kulia akisisitiza jambo kwa
wakati wa mafunzo hayo uku marefarii waliojitokeza wakimsikiliza kwa
makini kutoka kushoto ni Kondo Nassoro, Sako Mtlya na Buchato Michael
picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Mkufuzi wa mafunzo ya waamuzi wa
mchezo wa masumbwi Ally Bakari 'Champion' akitoa maelekezo kwa mabondia
na marefarii kabla ya kupigana wakati wa mafunzo kwa vitendo ya urefarii
wa mchezo huo picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
BAADHI YA MAREFARII WALIOSHILIKI KATIKA KOZI HIYO KUTOKA KUSHOTO NI BUCHATO MICHAEL,PEMBE NDAVA,HAMISI KIMANGA,RAJABU MHAMILA 'SUPER D' ALLY BAKARI,Ayubu Tezikoma NA SAKO MTLYA
0 comments:
Chapisha Maoni