Hali ya Utu na Amani itatoweka Tanzania kama jamii kwa pamoja Haitaweza kushirikiana pomoja na Serikali na Dini zote ili kutoa mafunzo yenye maadili na kuwajenga jamii Imani ya Umoja na Undugu.Historia toka Uhuru wa Tanzania tumekuwa ni watu wenye ushirikiano,Amani na hali ya Undugu kati yetu na Kwa kuongeza hilo Azimio la Arusha 1967 likabadilisha mfumo ili kuweka ujamaa na kujitegemea na Vipindi vyote Serikali imeonekana kupigania Amani.Rais wa Jamuhuri ya Muungano Mh.Jakaya Mrisho Kikwete amekuwa mpiganaji mkubwa wa kujenga Uzalendo na Upendo na kutunukiwa medani nyingi za amani nje na ndani ya Nchi.Jamii imeshindwa kugundua kuwa Hali inayoendelea sasa Haitaweza kuepukika kama Walezi watashindwa kuwajenga Watoto katika hali ya Uzalendo na Upendo,Watoto wa mtaani na Wanaoishi katika Mazingira magumu kupewa jicho la uwepo na kujaliwa na jamii,Elimu na Mitaala toka shule za Msingi iboreshwe na kufundisha Utanzania na Upendo.Kama hii itafanyika vizuri matukio haya yatapungua Tanzania
Mtoto anayesemekana ameuliwa na kijana ambaye ni Fundi Randa hii ni kutokana kwa kupungua kwa Utu Duniani.
Kijana inayesemekana kumuu mtoto mdogo na kujikata Uume wake na kula hapohapo akiwa kafungwa Pingu na Polisi.
Moja ya kichwa cha Binadamu ambacho kimetolewa katika moja ya Mifuko hiyo. kukutwa kwa viungo vya binadamu ni tukio lililotokea maeneo ya Bonde la Mbweni,Mpiji.Hili ni tukio ambalo limeidhalilisha taaluma ya Udaktari Tanzania kwa kushindwa kujali mazingira na hali ya utu.
Mabomu na risasi walizokutwa nazo Yusufu Ally na mkewe Sumaina Juma.ambao wanasemakana kuhusika na milipuko ARUSHA.
Tukio lingine la ajabu latokea Singida ambako mume amemkatakata au kamchinja mke wake na mtoto wake kama vile anachinja MNYAMA".
Shukrani kwa vyombo vya Habari kwa kuwa karibu na jamii na kutoa habari za kujenga jamii yetu kuwa na maadili na upendo,vituo vya Tv,Radio na Blogs
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Chapisha Maoni