Chanagamoto iyi imetolewa baada ya wafanyakazi wa kampuni ya Simu za mkononi ya Vodacom ,kula futali na watoto yatima na wanaoishi kwenye mazingira magumu,wa kituo cha Muhandaliwa,kilichopo Mtaa wa Mbweni,kata ya Bunju,Dar es Salaam.
Mmiliki wa kituo cha kulea watoto yatima Bi.Halima Ramadhani,ameitaka jamii kuwapenda watoto,hata baada ya kuondokewa na wazazi wao ili kuwaepusha na kujiingiza kwenye shughuli ambazo ni kinyume na maadili.
Mwakili wa Wafanyakazi hao wa Vodacom Happiness Shuma alipozungumza kwa niamba ya wafanyakazi wenzake amesema,'Vodacom inajuhusisha na masuala ya kijamii kama moja ya shughuli zake,kwa lengo la kuwasaidia watoto kama hao wenye mahitaji makubwa'
Watoto hao wa kituo cha Mahandaliwa wamewashukuru wafanyakazi hao wa Vodacom,huku wakieleza changamoto mbalimbali wanazokabiliana nazo.Jamii lazima ijitoe kutokana na kuwepo kwa ongezeko kubwa la watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu,ambao wengi huamua kwenda mitaani na kuomba,na kujihusisha na matukio ya ualifu.
watoto yatima na wanaoishi katika mazingira magumu wakipata futulu na wafanyakazi wa Vodacom
watoto yatima na wanaoishi katika mazingira magumu wakipata futulu na wafanyakazi wa Vodacom
Mlezi wa kituo Bi:Halima Ramadhani
watoto yatima na wanaoishi katika mazingira magumu wakipata futulu na wafanyakazi wa Vodacom
Bi:HAPPINESS SHUM (mhasibu Vodacom)
watoto yatima na wanaoishi katika mazingira magumu wakipata futulu na wafanyakazi wa Vodacom
watoto yatima na wanaoishi katika mazingira magumu wakipata futulu na wafanyakazi wa Vodacom
0 comments:
Chapisha Maoni