Bwana;TITUS KAGUO(manager,communication and public relation)
Hata hivyo Bwana Kaguo amesema oil Link baada ya kufungiwa na kuelimishwa taratibu na sheria kutimiza vigezo vyote vinavyohitajika, ameshakamilisha ambapo amewaita Ewura wamekagua na kuona hivi sasa kipo sahihi kwa kazi ili wanasubiri Bodi ikae ili ijadili ombi la leseni ikikubalika atapatiwa ndipo hataanza kazi..
Bwana Kaguo amewataka wananchi wawe na moyo wa subila wapo Ewura kwa maendeleo ya taifa,ndio maana wanazingatia swala zima la mazingira. ya jamii nchini.
Manager Oil Link LTD Bwana Majuto Hamadi amewataka wananchi wa Kimbiji wawe na moyo wa subira uvumilifu kutokana na kukosa huduma ya mafuta, kutoka na sababu za msingi Ewura wamefunga Kituo hicho hivi sasa wametekeleza mapungufu yaliyojitokeza wameshafanyia kazi wanasubili Bodi ikae Ewura iliwaweze kupatiwa Leseni ya kazi ndipo watafungua na kuendelea kutoa huduma kwa jamii.
0 comments:
Chapisha Maoni