KIWANGO SECURITY GUIDE NI SULUHISHO LA ULINZI karibu UJIONEE SABASABA

Kwa kuonesha Kiwango cha juu cha ulinzi kama lilivyojina lao KIWANGO SECURITY GUIDE,imetoa kamera 16 kwa ajili ya ulinzi sabasaba ambazo zimefanikiwa kuzuia uwezekano wowote wa matukia ya uvamizi au wizi mkubwa.KIWANGO SECURITY GUIDE ni kampuni ya ulinzi ya ndani Tanzania iliyo na mitambo mizuri na vifaa vya ulinzi kwa watu wa hali zote za kimaisha na kwa kuliona hilo ghalama zake zimekuwa za kawaida na zinazolingana na kipato cha Watanzania.Pia wanasaidia shughuli mbalimbali kama maonyesho ya mamiss na mashindano mbalimbali.
YONA ISDORY TEMBA(CHIEF CONTROLLER) akiwa na baadhi ya Mamiss ambao walitoa udhamini ili kufanikisha mashindano hayo)

YONA ISDORY TEMBA(CHIEF CONTROLLER) akiwa na baadhi ya Mamiss ambao walitoa udhamini ili kufanikisha mashindano hayo)

YONA ISDORY TEMBA(CHIEF CONTROLLER) akimpa mteja maelekezo ya vifaa vya ulinzi

YONA ISDORY TEMBA(CHIEF CONTROLLER) akimpa mteja maelekezo ya vifaa vya ulinzi

YONA ISDORY TEMBA(CHIEF CONTROLLER) akimpa mteja maelekezo ya vifaa vya ulinzi

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

TANGAZO

My Blog List