KUPANGA NI KUCHAGUA CHUO CHA MIPANGO DODOMA

Kupanga ni kuchagua ni kauli yenye maana kubwa ambayo imeeanza kutumika kama sela miaka ya 1967 na 1969Kipindi cha azimio la arusha na 1974(musoma resolution) pia ni kauli iliyotumika kwa vipindi mbalimbali ili kusisitiza Taifa lenye uwezo mkubwa wa kujiendesha na vijana wenye uwezo wa kugundua fursa na kuzitumia ili kukuza vipato vyao.CHUO CHA MIPANGO kwa kutumia kauli hiyo tena kimeonyesha upekee kwa namna kinavyoweza kuzalisha wasomi wenye uwezo wa kukabiliana na changamoto mbalimbali za maisha ikiwemo na suala la ajira Tanzania.CHUO CHA MIPANGO ni tofauti sana  na taasisi nyingine kwa kuwa imeendelea kutoa uwezo kwa Watanzania juu ya mipango ya maendeleo vijijini na mjini.Hivyo watanzania wameombwa wachague chuo bora chenye uwezo wa kumjenga mtanzania katika mazingira ya Tanzania kuliko kupendelea vyuo vya nje ambavyo havina ubora kama vya ndani.CHUO CHA MIPANGO(The Institute of Rural development planning) inatoa nafasi kwa watu wote hivyo Watanzania wasisite kujitokeza kujiunga na chuo kwa alama mbalimbali.Sabasaba wapo Banda la Wizara ya Fedha karibu utapata habari nyingi kutoka kwa Wataalamu wa CHUO CHA MIPANGO(The  Institute of Rural development planning)


NJAMASI CHIWANGA(MTAALAM WA TEKNOLOJIA YA TEHAMA)


GODRICK H.B.NGOLI(Head of Marketing and Public Relation Unit)

DR.MWABLESS MALILA(MKUU WA KITENGO CHA UDHIBITI WA UBORA WA MAFUNZO)



Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

TANGAZO

My Blog List