Karibu katika maonyesho ya Sabasaba ya 38 ili upate kujionenea jinsi watanzania walivyokuwa na uwezo mkubwa wa kuzalisha bidhaa zenye uwezo wa kushindana na soko la kimataifa.RED GOLD ni kiwanda cha watanzania kilichoajili watanzania wengi na wenye uwezo wa kuzalisha bidhaa za chakula kwa ubora wa hali ya juu.Wanazalisha bidhaa za TOMATO SOUCE,CHILLI SOUCE,PEANUT BUTTER,MIX FRUIT JAM na PILIPILI MBUZI n.k.karibu Banda la Tanzania ustaajabu na bidhaa za Watanzania zenye ubora wa kushinda za nje.
ndugu.DOMINICUS M. ULIKAYE(Afisa mkuu wa mauzo na masoko)
Rais wa Tanzania ni mmoja wa watu waliojitokeza kununua bidhaa hizo
Rais wa Tanzania mh.JAKAYA MRISHO KIKWETE akipata maeelezo toka kwa afisa mkuu mauzo na Masoko ndugu.DOMINICUS M.ULIKAYE
Mwandishi wa Blog akipata maelezo toka kwa ndugu.DOMINICUS M. ULIKAYE(Afisa mkuu wa mauzo na masoko)
ndugu.DOMINICUS M. ULIKAYE(Afisa mkuu wa mauzo na masoko)
About
SDM PRODUCTION MEDIA
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Chapisha Maoni