NEWTON TRUST COMPANY LTD,HYDRAFORM leaders in brick and blockmaking machines,wameonyesha mabadiliko makubwa katika sekta ya teknolojia na kuvutia kila mwananchi aliyetembelea maonyesho ya sabasaba kulitembelea Banda hilo na kununua bidhaa hizo.Wanatengeza machine za Hydraform na kusambaza kote nchini Tanzania karibu ndani ya Banda la hilo Ubalozi wa south africa,ndani ya Karume hall Banda namba 107 kupata habari zaidi
Raisi Jakaya Mrisho Kikwete akiingia ndani ya Banda la NEWTON TRUST COMPANY LTD,HYDRAFORM Distributor
Ndugu,Mganyizi Lukani(Meneja Mauzo) akimpa maelekezo Mh.Rais juu ya teknolojia ya Hydaform
Ndugu,Mganyizi Lukani(Meneja Mauzo) akimpa maelekezo Mh.Rais juu ya teknolojia ya Hydaform
0 comments:
Chapisha Maoni