TTCL YAFANYA VIZURI MAONYESHO YA SABASABA KARIBU UJIONEE

TTCL(Tanzania Telecommunication Company Ltd) Imeendelea kufanya vizuri katika SEKTA ya mawasiliano ndani ya Maonyesho ya Biashara ya Kimataifa maarufu kama Sabasaba.Hiyo ni kutokana na Elimu na huduma nyingi za mawasiliano zilizoboreshwa na kurudisha jina na Hadhi ya Mawasiliano nchini.Hali hiyo imewavutia watanzania wengi na wageni kutoka nje kutembelea ili kujua na kujiunga na Huduma hizo mpya na nzuri.Pia Banda hilo la TTCL limetembelewa na  Viongozi kama Mh.Rais wa Tanzania,Mama SALMA KIKWETE na Waziri wa Biashara Tanzania.Wanapatikana ndani ya Banda la Tanzania

                                   
                                      Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa TTCL, Peter Ngota akionesha tuzo ya ushindi katika sekta ya mawasiliano.

Mama Salma kikwete akiwa katika Banda la TTCL

Mama Salma kikwete akiwa katika Banda la TTCL


Raisi wa Tanzania Mh.Jakaya Mrisho Kikwete Akiwa katika banda la TTCL

Raisi wa Tanzania Mh.Jakaya Mrisho Kikwete Akiwa katika banda la TTCL

Raisi wa Tanzania Mh.Jakaya Mrisho Kikwete Akiwa katika banda la TTCL
Share on Google Plus

About SDM PRODUCTION MEDIA

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

TANGAZO

My Blog List