Rais wa Tanzania Mh.JAKAYA MRISHO KIKWETE ameonekana akitembelea maonyesho ya Sabasaba huku akiuliza maswali kuhusu biashara na kutoa mbinu zaidi ya kufanikisha biashara ndani na nje ya nchi.Akiwa ndani ya maonyesho pia alipata nafasi ya kuwaelekeza wafanya biashara jinsi ya kutoa Elimu na kuwavutia wateja ndani ya Maonyesho hayo ya Biashara ya kimataifa.Mwandishi wetu akinukuu kauli kutoka kwa Mh.Rais amesema"Mafunzo,uelimishaji na jinsi unavyomshauri mtu ndio unamfanya mtu afanye maamuzi ya kuwekeza katika biashara hiyo au la hivyo lazima mfanya biashara uwe na uwezo wa kutoa elimu kwa ufasa kuhusu biashara yako"Big up Rais wetu kwa kuwajali wafanya Biashara wa ndani.
Raisi akiongea na wataalamu wa kilimo Sabasaba ndani ya Bustani za magereza
Raisi kikwete akitembelea mabanda ya biashara sabasaba na waziri wa biashara Mh.Kigoda
Bustani za kilimo cha umwagiliaji cha jeshi la Magereza
Akiangalia mabanda mbalimbali ya vyombo
Akiwa katika banda la TTCL
About
SDM PRODUCTION MEDIA
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Chapisha Maoni