Wakati maonyesho ya Sabasaba yamepamba moto wake wa viongozi mbalimbali wameonekana wakitembelea mabanda ndani ya maonyesho ya Sabasaba kwa lengo la kujifunza,kubadilishana mawazo na pamoja na kuibua Fursa mbalimbali za Biashara.Wanawake hao ambao ni viongozi hodari na pia ni wake wa Viongozi wameonyesha uwezo kuwa Wanawake wananafasi ya juu kabisa katika kufanya na kutangaza Biashara.Mabanda waliyotembelea ni kama Banda la Mama Mkapa,Tanzania na mengine mengi
Wake wa Viongozi Tanzania wakitembelea mabanda sabasaba
Wake wa Viongozi Tanzania wakitembelea mabanda sabasaba ndani ya Banda la Mama Mkapa
Wake wa Viongozi Tanzania wakitembelea mabanda sabasaba ndani ya Banda la Mama Mkapa akisaini kitabu cha Wageni
Wake wa Viongozi Tanzania wakitembelea mabanda sabasaba
Wake wa Viongozi Tanzania wakitembelea mabanda sabasaba
nafasi ya juu kabisa katika kufanya na kutangaza Biashara.Mabanda waliyotembelea ni kama Banda la Mama Mkapa,Tanzania na mengine mengi
Mama SALMA KIKWETE akitembelea banda la TTCL ambalo linafanya vizuri ndani ya maonyeso ya Sabasaba
Mama SALMA KIKWETE akichagua Ungo.
Mama SALMA KIKWETE akisaini kitabu ndani ya Banda la Mama Mkapa
About
SDM PRODUCTION MEDIA
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Chapisha Maoni