Waziri wa Maendeleo ya Jamii,Jinsia na Watoto Mh.SOPHIA SIMBA amefungua kituo cha waathirika wa madawa ya kulevya kinachojulikana kama "THE RIGHT WAY REHABILITATION CENTER".Kituo hicho ni sehemu ya ukombozi kwa vijana dhidi ya vita ya madawa ya kulevya chenye Lego la kuwafanya vijana waachane na madawa na kujiingiza kwenye shughuli za maandeleo.Baadhi ya waathirika wamesema vijana wasijaribu madawa maana ni adui mkubwa wa maendeleo chini ya kauli MJANJA AVUTI
Waziri wa Maendeleo ya Jamii,Jinsia na Watoto Mh.SOPHIA SIMBA
NURU SALEHE mherimishaji kutoka SOBA ambaye amewahi kuwa mtumiaji wa madawa ya kulevya.
Mkurugenzi wa kituo kilichofunguliwa
Diwani wa kata ya kariakoo ABDULKARIM SALUM katikati ambaye pia na mlezi wa kituo pamoja na Vijana walioathirika.
Picha ya pamoja
About
SDM PRODUCTION MEDIA
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Chapisha Maoni