Bondia Japhert Kaseba kushoto
akizungumza katika mkutano wa kwanza wa umoja wa kusaidiana katika mambo
mbalimbali kwa mabondia wengine ni Habibu Kinyogoli 'masta' Fransic
Miyeyusho na Thomas Mashali picha na www.superdboxing coach.blogspot.com
Bondia Said
Chiddy kushoto akizungumza wakati wa mkutano wa umoja wa mabondia kwa
ajili ya kusaidiana katika mambo mbalimbali uliofanyika katika ukumbi wa
Vijana Kinondoni jana picha na www.superdboxing coach.blogspot.com
Mmoja wa wadau wa mchezo wa masumbwi nchini
Khalifa Kiumbe Moto kushoto akichangia mada wakati wa mkutano wa
kuunda umoja wa mabondia uliofanyika katika ukumbi wa vijana kinondoni
Dar es salaam picha na
www.superdboxing coach.blogspot.com
mmoja wa wapiganani wa kick boxing Mkali Kaizum akichangia mada
Mmoja wa mabondia Crispian Kisinini akichangia mada
mmoja wa mabondia akichangia mada
Bondia Japhert Kaseba akizungumza
kabla ya kufunga mkutano huo aliouitisha kwa ajili ya kuunda umoja wa
mabondia kusaidiana kwa mambo mbalimbali picha na
0 comments:
Chapisha Maoni