Kamanda
wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam,CP Suleiman Kova akizungumza na
waandishi wa habari jijini Dar es salaam leo wakati akitoa taarifa ya
tukio la kukutwa kwa viunga vya binadamu liliyotokea jana jioni maeneo
ya Bonde la Mbweni,Mpiji.
Moja ya kichwa cha Binadamu ambacho kimetolewa katika moja ya Mifuko hiyo
Sehemu ya waandishi wa habari waliohudhulia Mkutano huo wa Kamanda Kova.BOFYA INGIA HAPA KUONA TUKIO HILO.
0 comments:
Chapisha Maoni