Waziri Mkuu, Mizengo Pinda
akisalimiana na viongozi wa mkoa Kilimanjaro baada ya kuwasili kwenye
uwanja wa ndege wa Kilimanjaro Julai 20, 2014 kwa ziara ya siku moja
wilayani Same. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiweka
jiwe la Msingi la Chuo cha Ufundi ( VTC) cha Maore wilayani Same
Julai 21, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikata
utepe katika uzinduzi wa Chuo cha Ufundi ( VTC) cha Maore wilayani
Same Julai 21, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda
akizungumza na Jaji Mstaafu, Amir Manento baada ya kukabidhiwa nyumba
iliyojengwa na Jaji huyo kama mchango wake kwa Wananchi wa kijiji
alichozaliwa cha Mtii. Nyumba hiyo ilitolewa kwa Halmashauri ya Wilaya
ya Same ili ilitumike kama makazi ya Walimu. Julai 20, 2014. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda
akisalimiana na watoto wa kijiji cha Mtii wilayani Same baada ya
kukabidhiwa nyimba ya walimu iliyojengwa katika kijiji hicho na Jaji
Mstaafu Amir Manento, Julai 20, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda
(kushoto) akipokea zawadi ya miwa kutoka kwa mkazi wa kijiji cha Mtii
wilayani Same (jina Halikupatikana)
Mke wa Waziri uu Mama Tunu Pinda akipanda mti chuoni hapo.
0 comments:
Chapisha Maoni