Maonyesho hayo yamekuwa ya kihistoria kwa kuwa Nchi 33 zimeshiriki ,makapuni 500. Hiyo imeonyesha wazi maonyesho hayo yamekubalika kuwa ni ya kimataifa ,hambapo watanzania wamepata fursa ya kujifunza Hayo yamesemwa wakati wa kufunga maonyesho ya biashara ya kimataifa katika viwanja vya mwalimu Julias Kambarage Nyerere sabasaba na Waziri wa Viwanda na Biashara Abdalah Kigoda wakati wa ufungaji wa maonyesho hayo.
Waziri wa Viwanda na Biashara Abdalah Kigoda
Waziri wa Viwanda na Biashara Abdalah Kigoda akitoa vyeti kwa wafanya biashara waliofanya vizuri
Watu wakifuatilia kwa makini ufungaji wa maonyesho
0 comments:
Chapisha Maoni